James Kandonga
Director of Information Communication Technology And Statistics unit

This directorate is responsible for the provision of Clinical Support Services in the institute and is headed by a Director. The directorate is specifically responsible for the following functions:

  • Kutengeneza na kutekeleza sera, mipango na miongozo katika mfumo wa Tehama na mawasiliano ambayo inasaidia utoaji huduma wa hospitali
  • Kutoa msaada wa kitaalamu kwa watumiaji mifumo ya Tehama na mawasiliano.
  • Tathmini huduma za wazabuni wa Tehama na mawasiliano kutoka nje
  • Kusanya mara kwa mara ripoti za kitakwimu na kuzipeleka katika mamlaka husika.
  • Ratibu, kusanya, fupisha, tafsiri na hifadhi takwimu za hospitali
  • Kutengeneza na kutekeleza program za mafunzo kwa watumiaji wa miundombinu ya Tehama