This directorate is responsible for the provision of Clinical Support Services in the institute and is headed by a Director. The directorate is specifically responsible for the following functions:
- Kutengeneza na kuchunguza mikataba ya upangaji au uhamishwaji wa majengo.
- Kutoa huduma za kiutendaji kwa bodi ya wadhamini ya hospitali na kamati zake na kufatilia utekelezaji wa maazimio yaliyopitisha kwenye vikao
- Kusaidia uongozi wa hospitali katika tafsiri ya sheria, sera, miongozo, duru za serikali na machapisho
- Kuhusika na masuala ya madai kwa niaba ya hospitali wakishirikiana na ofisi ya mwanasheria mkuu