SALAMU ZA PONGEZI

Dkt. Seif Shekalaghe Katibu mkuu wizara ya afya

Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe Tunakupongeza Dkt. Seif Shekalaghe kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wizara ya afya, Tunakuahidi ushirikiano wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yako.

Naibu Katibu mkuu wizara ya afya Dkt. Grace Maghembe

Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe Tunakupongeza Dkt. Grace Maghembe kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu mkuu wizara ya afya, Tunakuahidi ushirikiano wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yako.

;