MPANGO WA KITAIFA KUHUSU UGONJWA WA KIFAFA NA MAGONJWA MENGINE YA FAHAMU
Mkurugenzi Mtendaji Dkt.Paul S. Lawala wa MNMH akiwa kwenye picha ya pamoja na madaktari Bigwa Dkt.Innocent Mombeki,Dkt.Advera Nshala na Dkt. Damas Adrea kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe wakiuhudhuria Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Ugonjwa wa Kifafa na Magonjwa Mengine ya Fahamu